POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE

POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE
kiungo : POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE

soma pia


POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE


Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeukaribisha mwaka 2018 kwa style ya kipekee ambapo wadau mbalimbali wamejumuika kufanya mazoezi pamoja na kuburudika kwa chakula, Vinywaji na muziki kabambe wa Skylight Band.

Shughuli hiyo imefanyika Jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo Sayansi, Kijitonyama. Shughuli hiyo ilianza saa 12 asb na inatarajia kumalizika usiku mnene.

Siku hiyo imepambwa na mazoezi ya kukimbia(Jogging) ambayo yameanza alfajiri ya saa 12, na kufuatiwa na mazoezi ya Aerobics, Steps, Zumba, Mpira wa miguu, na michezo mingine kama kuvuta Kamba, Kukimbiza Kuku nk.

Baada ya mazoezi kukamilika wadau wa Power on Fitness Gym wamejumuika katika burudani kabambe ya muziki iliyoporomoshwa na bendi ya Skylight na Ma DJ wakali wa hapa nchini.

Siku hiyo pia kutakuwa na Nyama choma itakayoandaliwa kiufundi na wapishi waliobobea, Supu bila kusahau vinywaji vya kila aina.

Shughuli hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya JSP Marketing Link Limited ikishirikiana na Msouth Company, Dagaa Microfinance Limited, Simba Makini Group, Jaina Ice Cubes, Micgen Insurance Brokers, TTCL na wenyeji Power on Fitness Gym.


Hivyo makala POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE

yaani makala yote POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/power-on-fitness-gym-yaukaribisha-mwaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE"

Post a Comment