title : VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
kiungo : VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakionyeshwa ramani ya ofisi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro inayojengwa katika mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakionyeshwa mipaka ya kiwanja na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro ya eneo linalojengwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakipewa maelezo kuhusu ujenzi wa ofisi na Msanifu Majengo wa TBA, Bw. Kileo Yusuph wakati viongozi hao walipotembelea mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiangalia msingi uliochimbwa kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma mara baada ya kutembelea eneo hilo ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi.
Hivyo makala VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
yaani makala yote VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/viongozi-ofisi-ya-rais-utumishi-na.html
0 Response to "VIONGOZI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA"
Post a Comment