title : ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB
kiungo : ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB
ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga Zahera Mwinyi amemteua mshambuliaji wa timu hiyo Ibrahim Ajib kuwa nahodha akichukua nafasi ya beki kisiki Kelvin Yondani.
Hatua hiyo imekuja baada ya Yondani kuchelewa kuripoti mazoezini bila kutoa taarifa yoyote na kuonesha utovu wa nidhamu akiwa kama kiongozi uwanjani.
Zahera amechukua hatua hiyo baada ya Yondani kutoonekana mazoezini licha ya wenzake wote kuanza mazoezi.
“Haiwezekani unatoa siku tano za mapumziko, mtu hatokei na hakuna taarifa yoyote. Sipendi hii tabia nimemtoa Yondani, nahodha mpya sasa atakuwa ni Ibrahim Ajibu,” alisema.
“Haiwezekani unatoa siku tano za mapumziko, mtu hatokei na hakuna taarifa yoyote. Sipendi hii tabia nimemtoa Yondani, nahodha mpya sasa atakuwa ni Ibrahim Ajibu,” alisema.
Ajibu anakuwa nahodha wa Yanga kwa mara ya kwanza baada ya kupendekezwa leo hii na Kocha wa timu hiyo Zahera akiamua kumng’oa Yondani kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Hivyo makala ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB
yaani makala yote ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/zahera-ampa-rungu-la-unahodha-ibrahim.html
0 Response to "ZAHERA AMPA RUNGU LA UNAHODHA IBRAHIM AJIB"
Post a Comment