TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI

TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI
kiungo : TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI

soma pia


TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

SERIKALIya Nchini China imedhamiria kuisaidia Bodi ya Utalii nchini (TTB) katika kutangaza vivutio mbalimbali nchini na kukuza biashara kati ya nch hizo mbili Tanzania na China. 

Akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Bodi ya TTB Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema kuwa lengo kuu la ziara iliyofanyika nchini China katika Jiji la Shanghai, Guangzhou, Hong Kong, Chengdu na Beijing Novemba 12-20 ilikuwa ni kwa ajili ya kutangaza utalii. 

Amesema, wametumuia fursa hiyo kuhakikisha Tanzania inaongeza sehemu ya umiliki wa soko kwenye soko la utalii kwa kutangaza vivutio vya utalii na fursa za uwekezaji zikizopo nchini ikiwamo na safari za ndege za ATCL kwenda China.

Jaji Mihayo ameeleza kuwa, katika safari hiyo ya nchini China wameweza kusaini mkataba na kampuni ya Touchroad Group na TTB na wamekubaliana kuwa kampuni hiyo italeta watalii elfu kumi (10,000) kutoka China hadi kufikia mwaka 2019.

"Kundi la kwanza la watalii wanatarajiwa kuwasili nchini mwezi Januari na Februari 2019, watakuwa nchini kwa muda wa siku tatu na Touchroad wameonesha nia ya kuwekeza katika huduma ya malazi zenye hadhi ya nyota tano na tayari wanazo hoteli nne,"amesema Mihayo. 

Katika ziara waliyoifanya ya jiji la Beijing, wawakilishi wa Shirika la Utangazaji la China (CCTV) walikutana na maafisa wa MNRT na wakatoa mapendekezo ya kutengeneza makala za dakika 30 za Zamadam kisha kutoa Filamu kama ya Jurassic Park ili kurushwa kwebye televisheni yao. 
MWENYEKITI wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji mstaafu Thomas Mihayo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo , kuhusu mafanikio ya ziara kutangaza utalii katika soko la utalii la China. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB, Devota Mdachi na kulia ni Ofisa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Gao Wei.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa ATCL, Edward Nkwabi akizungumzia maombi kutoka kwa viongozi wa miji ya Hong Kong, Beijig, Chengdu na Shanghai kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja kutoka Tanzania hadi kwenye miji hiyo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI

yaani makala yote TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/ttb-na-china-kushirikiana-kuutangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTB NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA NCHINI"

Post a Comment