title : RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Teger Lee, kushoto kwa Rais Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,6-12-2018. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea, Balozi Song. Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 6-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar,leo 6-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar,6-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akibadilishana mawazo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania.Balozi Song.Geum –young, wakati wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.6-12-2018.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-wa-zanzibar-mhedk-shein-azungumza.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA IKULU LEO"
Post a Comment