AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO

AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO
kiungo : AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO

soma pia


AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO

Afisa Miradi 'Afisa Programu' kutoka Umoja wa Ulaya (European Union - EU) John Villier amefanya ziara ya kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa Kutokomeza Mila na Desturi Kandamizi zinachochangia ndoa na mimba za utotoni mkoani Shinyanga unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto la Save The Children.

Ziara hiyo imeanza Jumatano Agosti 29,2018 kwa Afisa Miradi huyo kukutana na wadau wanaoshiriki katika kutekeleza mradi huo wakiwemo viongozi wa serikali ya mkoa wa Shinyanga, Shirika la Save The Children na Shirika la Agape Aids Control Programme (AACP) ambao kwa pamoja wanaendelea kushirikiana katika kufanikisha mradi huo.

Akiwa katika ziara yake, John Villier pia amekutana na wanafunzi wa shule ya Msingi Mwamashele iliyopo kata ya Mwamashele kupitia “Tuseme Club” pamoja na kikundi cha watu wazima katika kijiji cha Itilima kata ya Itilima halmashauri ya wilaya ya Kishapu ambao hukutana na kujadili namna ya kukabiliana na mila na desturi kandamizi.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo,Villier alieleza kufurahishwa na jinsi mradi huo wa kutokomeza mila na desturi kandamizi unavyotekelezwa kwani umesaidia kupunguza mimba na ndoa za utotoni mkoani Shinyanga.
Afisa Miradi 'Afisa Programu' kutoka Umoja wa Ulaya (European Union) John Villier akifanya mazungumzo na viongozi wa Shirika la Save The Children katika ofisi za Shirika hilo Mjini Shinyanga leo Jumatano Agosti 29,2018 - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde
Afisa Miradi 'Afisa Programu' kutoka Umoja wa Ulaya (European Union) John Villier akizungumza na viongozi wa Shirika la Save The Children na kuhoji masuala mbalimbali kuhusu Mradi wa Kutokomeza Mila na Desturi Kandamizi zinachochangia ndoa na mimba za utotoni unaotekelezwa na Shirika la Save The Children kwa kushirikiana na Shirika la Agape Aids Control Programme (AACP) la Mjini Shinyanga wilaya ya Kishapu na Kahama mkoani Shinyanga.
Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Uendeshaji Miradi Kutoka Shirika la Save The Children nchini Tanzania, Jesse Orgenes akielezea namna jamii inavyoshirikishwa katika mradi huo ili kuufanya uonekane ni wa jamii na siyo wa shirika.
Katikati ni Meneja wa Shirika la Save The Children Mkoa wa Shinyanga Benety Malima akielezea namna wanavyoshirikiana na shirika la AGAPE katika kutekeleza mradi wa Mila na Desturi Kandamizi katika mkoa wa Shinyanga. 



Hivyo makala AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO

yaani makala yote AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/afisa-miradi-umoja-wa-ulaya-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO"

Post a Comment