RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

soma pia


RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla akitoa maelezo kuhusiana na Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya  uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Makamu wa Rais wa Naijing Drum Tower Hospital Dkt Yu Chenggong akitoa hmaelezo kuhusu mradi katika uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Bolozi mdogo wa China Alioko Zanzibar Xie Xiaowu akitoa salamu za china katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akimkabidhi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma cheti cha uteuzi wa ubalozi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi katika hafla ya Uzinduzi wa mradi huo ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohamed Shein wapili kulia akionesha kitu wakati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Huduma za Uchunguzi Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt,Msafiri Marijani kuhusiana na maradhi ya Shingo ya kizazi yanayowapata kinamama katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR


Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-shein-azindua-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR"

Post a Comment