title : Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria
kiungo : Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria
Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria
Spika wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ametembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria ambapo kinakusudiwa kujengwa ofisi za Ubalozi mjini Abuja. Anaemuonesha ni Mhe Elias Mwandobo, Kaimu Balozi wa Tanzania nchini humo.Mwingine pichani ni Katibu wa Spika,Ndg.Saidi Yakubu.
Spika wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa kwenye Kiwanja ambacho kinakusudiwa kujengwa Ofisi za Ubalozi mjini Abuja. Kushoto ni Mhe Elias Mwandobo,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini humo.
Hivyo makala Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria
yaani makala yote Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-atembelea-kiwanja-cha.html
0 Response to "Spika Ndugai atembelea Kiwanja cha Ubalozi wa Tanzania Nigeria"
Post a Comment