title : NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR
kiungo : NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR
NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Omary Mgumba, Amefanya Kikao na watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mapema leo Jijini Dar es Salaam akiwa safarini kikazi kuelekea Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Mgumba amewasitiza watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kufanya kazi kwa bidii, ushirikiano na ueledi ili kutimiza dhima ya Serikali ya awamu ya Tano ili kuleta maendeleo katika uzalishaji wa chakula kupitia kilimo cha Uhakika cha Umwagiliaji kuelekea Tanzania ya viwanda.
Picha ya Pamoja Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Omary Mgumba akiwa na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Tume ya Taifa ya Umwagiaji katika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini dar es Salaam.
Katika Picha Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Omary Mgumba akiongea na watumishi wa Tume ya Taifa ya umwagiliaji (hawapo pichani) katika Ofisi za Wizara hiyo Jijiini Dar es Salaam, kushoto ni Bi Aida Tesha Afisa Utawala Mkuu wa Tume hiyo.
Katika Picha ni baadhi ya watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakiwa katika kikao na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omary Mgumba.
Baadhi ya watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo Mhe . Omary Mgumba.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR
yaani makala yote NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-omary-mgumba-afanya-kikao.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI OMARY MGUMBA AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI DAR"
Post a Comment