title : MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA
kiungo : MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA
MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa Daladala ambao hufanya safari zao kituo cha River Side kwenda Makoka mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo .
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na Dereva wa Bodaboda katika barabara ya Riverside Makoka mara baada ya kukagua barabara hiyo iliyochongwa kwa fedha za Mfuko wa jimbo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Wakazi wa eneo la Ubungo Makoka mara alipo fika katika kituo cha Daladala eneo la Riverside kupata maoni yao nini kifanyike kuboresha barabara hiyo ili iweze kupitika muda wote
Mjumbe wa shina Makoka Phinias akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea juu ya barabara ya Makoka River side mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo

Hivyo makala MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA
yaani makala yote MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mbunge-wa-ubungo-saed-kubenea-akagua.html
0 Response to "MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA"
Post a Comment