title : NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO
kiungo : NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO
NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kulia) akipewa maelezo kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, Ignas Gara (katikati) mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya kisiwa hicho ambapo ambapo aliweza kuzungumza na watumishi wa Hifadhi hiyo iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kushoto ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (katikati) akipewa maelezo kutoka kwa Meneja wa Hoteli ya Asilia, Adam Juma (wa pili kulia) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (wa pili kushoto) wakati alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo ambapo aliweza kutembelea hoteli hiyo iliyopo ndani ya Hifadhi hiyo iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kulia ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya na kulia ni Adrian William
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiangalia baadhi ya picha kwenye simu ya Sokwe wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (katikati) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiwa kwenye boti wakivuka wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya
Baadhi ya sehemu za kupumzika katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
(PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA-WMU)
Hivyo makala NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO
yaani makala yote NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-constantine-kanyasu.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO"
Post a Comment