title : Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis
kiungo : Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis
Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania, Bw. Klaus Werner Lohannis Jumatano Julai 18, 2018 mjini Bucharest, Romania. Ubalozi wa Tanzania uliopo Berlin, Ujerumani, pia unahudumia maeneo mengine tisa ya uwakilishi, ikiwemo nchi ya Romania.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Saleh Possi akipeana mikono na Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis baada ya wasilisha hati zake za utambulisho Jumatano Julai 18, 2018 mjini Bucharest, Romania.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Saleh Possi akipozi na Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis baada ya wasilisha hati zake za utambulisho Jumatano Julai 18, 2018 mjini Bucharest, Romania.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Saleh Possi akiagana na Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis baada ya wasilisha hati zake za utambulisho Jumatano Julai 18, 2018 mjini Bucharest, Romania.
Hivyo makala Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis
yaani makala yote Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/balozi-dkt-abdallah-saleh-possi.html
0 Response to "Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Romania Bw. Klaus Werner Lohannis"
Post a Comment