HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA.

HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA.
kiungo : HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA.

soma pia


HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA.

Simba jana ilifanikiwa kutinga kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushinda kwa mabao 3-1 Nkana FC ya Zambia kwenye mchezo wa marudio na kufanya matokeo ya jumla kuwa mabao 4-3.

Mchezo huo uliochezwa uwanja wa Taifa, Nkana walikuwa wa kwanza kuandika bao la kwanza dakika ya 16 kupitia Walter Bwalya aliyefunga kwa kichwa akitumia pasi ya Harrison Chisala, dakika ya 29, Jonas Mkunde alisawazisha kwa shuti kali akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Claytous Chama.

Kiungo mkabaji wa Simba, James Kotei ambaye alifanikiwa kutoa pasi ya bao la pili dakika ya 45 lililofungwa na Meddie Kagere amesema thamani ya bao la Mkude ni kubwa kama ilivyo gharama za ndege aina ya Airbus.

"Ni bao zuri na lilikuwa ni muhimu kwetu kuweza kupata nguvu ya kupambana kwa ajili ya timu yetu, kwa furaha kubwa tuliyonayo unaweza kusema ni kama thamani ya ndege ya Airbus.

"Hakuwa katika mazingira ya kawaida ambayo yangemruhusu kufunga bao na alifanya maamuzi ambayo yaliwashangaza wengi hivyo thamani ya bao lake ni kubwa," alisema Kotei.
Bao la ushindi lilifungwa na Claytous Chama dakika ya 88 kwa staili ya kisigino akimalizia pasi aliyopewa na kiungo mwenzake Hassani Dilunga


Hivyo makala HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA.

yaani makala yote HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/haya-hapa-maajabu-ya-simba-kimataifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAYA HAPA MAAJABU YA SIMBA KIMATAIFA."

Post a Comment