MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE

MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE
kiungo : MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE

soma pia


MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE

*Ni baada ya kukiri makosa ya kutakatisha fedha, kuongoza genge la kuiba mafuta bomba la bandari

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya Princes Muro Majid Kimaro kulipa faini ya Sh. milioni 115 au atatumimia kifungo cha miaka nane jela baada ya kukiri mashtaka yanayomkabili ya kutakatisha fedha na kuongoza genge la uhalifu ili kuiba mafuta katika bomba linalomilikiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Pia Mahakama imeamuru gari aina ya Scania lenye namba za usajili T 856 ADH ambalo lilitumika kuiba mafuta hayo ambayo ni zaidi ya lita 26,875.25 ya dizeli na petroli litaifishwe na kuwa mali ya Serikali.

Hukuumu hiyo imesomwa leo Desemba 12, 2018 na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba na kuhukumiwa na jopo la mawakili likiongozwa na Wakili wa Serikali Wankyo Simon akisaidiana na Jackline Nyantori, Patrick Mwita

Alitoa Hukumu hiyo, Hakimu Simba amesema, Mahakama imemtia hatiani mshitakiwa kwa makosa mawili baada ya kukiri kutenda makosa hayo mwenyewe.

Akisoma adhabu, amesema, katika shitaka la kuongoza genge la uhalifu, Muro anahukumiwa kulipa faini ya Sh. milioni tano na iwapo akishindwa atatumimia kifungo cha miaka mitatu gerezani. Wakati katika shtaka la utakatishaji fedha, mshtakiwa ameamriwa kulipa faini ya Sh.milioni 110 au kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani.

Pichani mshtakiwa Majid Kimaro ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya Princes Muro akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kufanikiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 115 na kukwepa kutumikia kifungo cha miaka nane gerezani.



Hivyo makala MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE

yaani makala yote MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mmiliki-mabasi-ya-princes-muro-alipa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MMILIKI MABASI YA PRINCES MURO ALIPA FAINI YA MILIONI 115/-AKWEPA KWENDA JELA MIAKA NANE"

Post a Comment