WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO

WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO
kiungo : WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO

soma pia


WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO

 Mkazi wa kijiji cha Mwande kata ya Mateteleka halmashauri ya wilaya ya Madaba,mkoani Ruvuma Thobias Ngulungula akitoa malalamiko yake ya ahadi ya Rais Dkt John Magufuri ya kutoa shilingi milioni 50 kwa kijiji mbele ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Madaba Shafi Mpenda(hayupo pichani)wakati wa mkutano wa hadhara kijijini hapo jana. ambapo ameiomba serikali kuharakisha ukutekeleza ahadi hiyo ili iwasaidie wananchi kuanzisha vikundi vya kiuchumi katika vijiji vyao.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma Shafi Mpenda akizungumza jana  na wakazi wa kijiji cha Mwande kataya Mateteleka wilayani Songea katika mkutano wa hadhara uliolenga kuhamasisha kazi za maendeleo kijijini hapo baada ya serikali kuanzisha kijiji hicho kwa  lengo la kusogeza huduma mbalimbali za kijamii karibu na wananchi wa kijiji hicho.


Hivyo makala WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO

yaani makala yote WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wananchi-wahamasishwa-kufanya-kazi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANANCHI WAHAMASISHWA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA MAENDELEO"

Post a Comment