Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao

Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao
kiungo : Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao

soma pia


Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao

Na Karama Kenyunko, blog ya jamii.

Kesi ya shambulio inayomkabili aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge mstaafu wa Mkuranga, Adam Kighoma Malima na mwenzake kuanza kusikilizwa Agosti 9, mwaka huu.

Hatua hii imekuja baada ya upande wa mashtaka kukamilisha upelekezi na kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali (PH).

Katika hali hiyo, Malima anashtakiwa pamoja na Ramadhani Mohamed.Wamesomewa PH, na Wakili wa Serikali, Ester Martin mapema Leo, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage.

Katika maelezo hayo, Malima na Mohammed wamekubali maelezo yao binafsi, siku ya tukio kuwa walikuwepo Masaki, walikamatwa na kushtakiwa na wamekanusha tuhuma zote zinazowakabili.

Katika kesi hiyo, Malima anadaiwa kuwa Mei 15,2017 katika eneo la Masaki kwa makusudi alimzuia ofisa wa polisi H.7818 PC ABDU kufanya kazi yake halali.Malima anadaiwa kumzuia afisa huyo kufanya kazi yake ya kumkamata Ramadhani Kigwande kwa kosa la kumshambulia Mwita Joseph.

Kwa upande wa mshtakiwa wa kwanza, Ramadhani Mohammed Kigwande Naye anakabiliwa na shtaka la kumshambulia Mwita Joseph.

Ilidaiwa, Mei 15,2017 huko huko Masaki mshtakiwa Ramadhani akiwa na nia ya kumzuia Mwita Joseph ambaye ni afisa oparesheni wa kampuni ya Priscane Business Enterprises wakati alipokuwa akimkamata kwa kupaki vibaya gari namba T 587 DDL alimshambulia na kumsababishia maumivu.

Washtakiwa wote wapo nje kwa dhamana hadi Agosti 9, mwaka huu.


Hivyo makala Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao

yaani makala yote Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kesi-ya-shambulio-inayomkabili-kigoma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kesi ya Shambulio inayomkabili Kigoma Malima kuanza kusikilizwa mwezi Ujao"

Post a Comment