Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao

Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao
kiungo : Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao

soma pia


Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao


Mbunge wa Bunda Mjini, Eser Bulaya (Chadema), amesema anakusudia kuwasilisha muswada binafsi bungeni kupinga matumizi ya vikokotoo vya pensheni kwa madai kuwa vinamnyonya mfanyakazi.

Akizungumza jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 4, Bulaya amemtaka waziri husika kujitokeza na kusema kwanini mchakato wa uandaaji vikokotoo hivyo haukuzingatia ushirikishwaji wa wadau.

“Kwanini kumekuwa na malalamiko mengi… waache kutoa majibu mepesi kwenye hoja nzito. Mimi nikishikilia jambo huwa lina ukweli na nilikaa muda mrefu sijaongea nikifanya utafiti wa kina,” amesema Bulaya.

Kuhusu pongezi za Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema zimemuongezea nguvu ya kulishughulikia suala hilo.

“Pongezi za Spika nimezipokea na zimeniongezea kasi ya kukomaa na suala hili hadi dakika ya mwisho… na kufukuzwa bungeni nimezoea,” amesema Bulaya.



Hivyo makala Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao

yaani makala yote Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mbunge-bulaya-kahidi-kuwasilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge Bulaya kahidi kuwasilisha muswada binafsi bungeni kuhusu vikokotoo vya mafao"

Post a Comment