MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU

MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU
kiungo : MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU

soma pia


MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU

Kuna kila dalili Sikukuu ya Krismass, Mwaka mpya wakasheherekea wakiwa ndani.

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii

KESI ya tuhuma za uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na wenzao saba inayounguruma katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepigwa kalenda hadi Desemba 21 mwaka huu.

Aidha Mahakama hiyo imetoa ruhusa kwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kuendelea kuhudhuria michezo ya Afrika Mashariki nchini Burundi na pia imeruhusu Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, kumuuguza mkewe ambaye amejifungua kwa upasuaji hivi karibuni.

Mbowe na Matiko wataendelea kukaa mahabusu kwa muda usiojulikana pengine hadi mwakani, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha usikilizwaji wa rufaa iliyokatwa na washitakiwa hao kupinga maamuzi ya Mahakama ya Kisutu ya kuwafutia dhamana.

Hatua hiyo imetokana na upande wa Serikali kukata rufaa kupinga uamuzi ya Jaji Sam Rumanyika aliyesema kuwa rufaa ya kina Mbowe ipo mahakamani hapo kisheria na kwa maana hiyo, haina mamlaka ya kuendelea na usikilizwaji wa rufaa hiyo.

Akitoa uamuzi huo mwishoni mwa wiki iliyopita, Jaji Rumanyika alisema DPP anapewa mamlaka ya kukata rufaa kwa uamuzi mdogo ambao haumalizi kesi chini ya kifungu cha sita cha Sheria ya Mamlaka ya Rufaa na kwamba kunapokuwepo taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama ya Rufani, mahakama ya chini haiwezi kuendelea na shauri.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko wakisalimiana na  baadhi ya wadau  .( PICHA NA MAKTABA).


Hivyo makala MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU

yaani makala yote MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mbowe-ester-matiko-mambo-magumu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBOWE , ESTER MATIKO 'MAMBO MAGUMU' , WARUDISHWA TENA MAHABUSU"

Post a Comment