title : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
kiungo : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU

Huduma zinazotolewa na Taasisi yetu ni upimaji wa vihatarishi vya magonjwa ya Moyo, ushauri wa kiafya kuhusiana na Magonjwa ya Moyo, elimu ya lishe bora, kuelezea kwa kina huduma zinazotolewa na Taasisi, kutoa Rufaa ya moja kwa moja kwa wananchi watakaokutwa na matatizo ya Moyo yanayohitaji kupewa rufaa.
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete iko kwa ajili ya kutoa huduma bora na kutoa elimu inayohusiana na magonjwa ya Moyo kwa wananchi. Wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu pamoja na mikoa ya jirani mnakaribisha kutembelea Banda letu ili muweze kupata huduma zetu. Karibuni sana.
“Afya ya Moyo wako inatuhusu”
Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Hivyo makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
yaani makala yote TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete.html
0 Response to "TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU"
Post a Comment