title : MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR
kiungo : MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR
MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR
Mkurugenzi mkuu wa LafargeHolcim na Mbeya Cement Company Limited nchini Ilse Boshoff akizungumza na waandishi wa habari katika semina elekezi kwa waandishi wa habari kuhusiana na utayari wao wa kusaidia maendeleo nchini, sambamba na nia yao ya kutoa gawio kwa serikali pamoja na ubora na uimara ya saruji inayozalishwa na kampuni hiyo yenye makao makuu jijiji Mbeya wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari iliyofanyika Ofisini kwao jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu wa Saruji Mark Chilambe akitoa mafunzo hayo ambapo ameeleza namna anavyozalisha saruji sambamba na utunzaji wa mazingira na amesema kuwa saruji wanazozalisha huuzwa kwa asilimia 8 nchini na nyingine husafirishwa nje ya nchi.
Mafunzo yakiendelea
Uongozi wa LafargeHolcim ukiwa kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari walioshiriki mafunzo hayo yaliyofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR
yaani makala yote MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mbeya-cement-yatoa-semina-kwa-waandishi.html
0 Response to "MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR"
Post a Comment