EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA

EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA
kiungo : EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA

soma pia


EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA

Imekuwa habari njema kwa wadau wa Efm redio waliopo mikoani ambapo redio haikuweza kuwafikia, sasa Efm redio inasikika katika mikoa mitano ambayo ni Dar es salaam na Pwani kupitia masafa ya 93.7, Mwanza 91.3, Mbeya 103.3 na Mtwara 93.7 na hivi karibuni inatarajia kufikisha masafa yake katika mikoa mingine. Lengo kubwa ni kuhakikisha redio Efm inamfikia kila mtanzania na kuhakikisha jamii inanufaika kupitia matangazo ya vipindi mbalimbali vinavyoenda sambamba na matamasha yanayoendeshwa na redio hii.



Hivyo makala EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA

yaani makala yote EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/efm-redio-yazidi-kupasua-anga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA"

Post a Comment