title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali
kiungo : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali
MKURUGENZI wa Jumuiya ya Ustawishaji wa Zao la Karafuu na Viungo Pemba (JUKAVIPE) Hassan Ali Bakari akifungua mkutano wa Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachan.
MJUMBE wa Bodi ya JUKAVIPE Khatiba Juma Mjaja, akizungumza wakati wa kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani
MJUKMBE wa Bodi ya JUKAVIPE Said Mohamed Ali mwenyekofia, akichangia katika kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali
yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/matukio-ya-picha-kisiwani-pembamafunzo.html
0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali"
Post a Comment