title : BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM
BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM
Wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV iliyohusishwa na ajali ya barabarani na gari dogo lenye namba za usajili T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam, ambapo mwenye gari dogo inasemekana alikuwa akielekea Hospitali ya Taifa Muhimbili akimpeleka mgonjwa na wote wakitokea upande mmoja wa Faya na basi la mwendokasi likitokea Gerezani kueleke Ubungo. Madereva na abiria wa magari yote mawili walisalimika
Askari wa Usalama Barabarani (kulia) akikagua ajali hiyo akiwa na wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV iliyohusishwa na Gari lenye namba za usajili T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam
Askari wa Usalama Barabarani (mwenye kofia nyeupe) akipiga simu kuomba gari maalumu ya kuvuta gari lililokuwa limegonga Basi la Mwendokasi eneo la Faya.
Gari lenye namba za Usajili T 584 DLA baada ya ajali kutokea eneo la Faya
Basi la mwendoa kasi baada ya kugongwa.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Hivyo makala BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/basi-la-mwendokasi-lapata-ajali-jijini.html
0 Response to "BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment