WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO
kiungo : WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

soma pia


WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

Na Dixon Busagaga,Rombo.

WATU wanne wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Isuzu kuacha njia na kwenda kugonga ngema katika eneo la Kikelelwa wilayani Hai.

Waliofariki dunia wametambulika kwa majina ya Emanual Josephat Silayo (28) ,Viviano silayo (35) wakazi wa Mbomai Juu,Juma Idd (20) maarufu kama mwarabu na mwingine aliyefahamika kwa jina moja la Deolla .

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah aliyefika eneo la tukio amethibitisha kutokea kwa ajalo hiyo na kwamba dereva wa Lolri hilo lililokuwa limebeba mbao alikimbia kusiko julikana baada ya ajali..

"Jitihada za kumtafuta dereva zinafanyika na chanzo cha ajali ni kupoteza muelekeo kwa Lori hilo na baadae kugonga Gema ndipo watu waliokuwa wanekaa mbele walichomoka na kwenda kupigiza vichwa katika Gema na kupasuka"alisema Kamanda Issah.

Kamanda Issah amesema gari hilo likiwa na shehena ya mbao lilikuwa likitokea eneo la West Kilimanjaro ,eneo maarufu kwa uchanaji wa mbao na kwamba lilikiwa likielekea Rombo kupitia njia ya Rongai.

"Ni gari la kubeba mbao lilikua linatoka West Kilimanjaro kupitia njia ya Kikelelwa wilayani Rombo ,Gari aina ya Isuzu likiwa na namba za usajili T 889 ACN lilimshinda dereva na kuacha njia na baadae kugonga ngema iliyosababisha watu wanne waliokuwemo katika gari hilo kufa papo hapo." alisema Kamanda Issah.

Miili ya marehemu wote imehifadhiwa katika hosptali ya wilaya ya Rombo kwa ajili ya maandalizi ya mazishi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamis Issah akiangalia gari hilo wakati alipofika kwenye eneo la tukio.



Hivyo makala WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

yaani makala yote WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/watu-wanne-wafariki-dunia-papo-hapo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO"

Post a Comment