maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar

maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar
kiungo : maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar

soma pia


maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar

Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji,Joseph Kakunda (watatu kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Novatus Rutageruka (katikati)Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo akitembelea maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya hapa nchini, maonesho hayo yatafunguliwa rasmi Desemba 6 kwaka huu.
Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji Joseph Kakunda akiangalia bizaa zinazotengenezwa na kiwanda cha Darsh,(katika) Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Biashara,Edwin Rutageruka.
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh Joseph Kakunda aliyeambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Edwin Rutageruka akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino – NIDA Bi. Rose Joseph, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ndani ya maonyesho Tatu ya Bidhaa za Viwanda.
Baadhi ya Wananchi waliofika kwenye banda la NIDA ndani ya maonyesho ya Tatu ya Bidhaa za viwanda wakipatiwa elimu juu ya zoezi la usajili, umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa na taratibu za kufuata ili kukamilisha hatua za awali za usajili. (Picha na Emmanuel Massaka, MMG)
Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji, Joseph Kakunda akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam juu ya maonesho ya tatu ya bidhaa za wiwanda vya hapa nchini yanayo funguliwa Desemba 6 kwaka huu ambapo kaulimbiu ya mwakaa huu Tanzania sasa tunajenga viwanda.


Hivyo makala maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar

yaani makala yote maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/maonesho-ya-tatu-ya-bidhaa-za-viwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar"

Post a Comment