title : LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA
kiungo : LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA
LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amesema halmashauri zina wajibu wa kuayasimamia mabaraza ya ardhi ya Kata katika maeneo mablimbali nchini.
Kauli ya Lukuvi inafuatia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumeleza kuwa ofisi yake hairidhishwi na namna Mabaraza ya Ardhi ya Kata yanayofanya kazi na kubainisha kuwa baadhi yake yanaendeshwa na watu wasiokuwa na taluma ya sheria huku wakitoa hukumu za kisheria ambazo baadhi yake hazieleweki.
Akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kinondoni wakati wa mkutano wa kusikiliza migogoro ya ardhi kupitia Program ya Funguka kwa Waziri uliofanyika uwanja wa shule ya msingi Bunju B jijini Dar es Salaam jana, Waziri Lukuvi alisema halmashauri kupitia kwa mwanasheria wake zinapaswa kujua maamuzi yote yanayotolewa katika Mabaraza ya Ardhi ya Kata.
Alisema, pamoja na kilio cha wananchi wengi dhidi ya Mabaraza ya Ardhi ya Kata katika maeneo mbalimbali lakini upo utaratibu mzuri uliopangwa kuhusiana na Mabaraza hayo ingawa yameachwa yajiendeshe yenyewe huku Halmashauri chini ya Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ikiyaangalia bila kufuatiliwa.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kiondoni mkoa wa Dar es Salaam waliojitokeza kuwasilisha migogoro yao ya ardhi katika program maalum ya Funguka kwa waziri katika uwanja wa shule ya Msingi Bunju B.
Mmoja wa wananchi wa Mabwepande akiwasilisha lalamiko lake la mgogoro wa ardhi kawa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katika program maalum ya Funguka kwa waziri katika uwanja wa Shule ya Msingi Bunju B.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuwasilisha malalamiko yao ya migogoro ya ardhi kwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katika program maalum ya Funguka kwa Waziri katika uwanja wa Shule ya Msingi Bunju B.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA
yaani makala yote LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/lukuvi-alia-halmashauri-kushindwa.html
0 Response to "LUKUVI ALIA HALMASHAURI KUSHINDWA KUSIMAMIA MABARAZA YA ARDHI YA KATA"
Post a Comment