title : Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina.
kiungo : Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina.
Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bi Nassra Mohammed akifungua mafunzi ya kuwajengea uwezo Mafundi Mitambo wa ZBC yanayotolewa na Wataalamu wa Kichina , mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa jengo la ZBC rahaleo Zanzibar, kulia Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Uchumi katika Ubalozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar. na kushoto Fungi Mkuu wa Redio ZBC Eng Ali Aboud Talib.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Bi Nasra Mohammed akifungua mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo mafundi mitambio wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Uchumi katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar mazizini Bwana Chen akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo mafundi mitambo wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, mafunzo hayo yamefanyika ukumbi wa ZBC Rahaleo Zanzibar.
Hivyo makala Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina.
yaani makala yote Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mafundi-mitambo-wa-zbc-wapata-elimu-ya.html
0 Response to "Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina."
Post a Comment