title : KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU
kiungo : KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU
KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kushoto akitoa maagizo kwa Meneja wa Temesa mkoa wa Shinyanga Mhandisi Margareth Mapela wakati wa ziara yake ya kukagua karakana ya wakala mkoani humo. 
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akikagua mojawapo ya mtambo wa kuchongea vipuri vya mashine mbalimbali katika karakana ya Temesa mkoa wa Shinyanga wakati wa ziara yake mkoani humo, watatu kulia ni Meneja wa TEMESA mkoani humo Mhandisi Margareth Mapela.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kushoto akimpa maelekezo Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Matengenezo wa wakala huo Mhandisi Sylvester Simfukwe wakati akikagua karakana ya Temesa mkoani Dodoma.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akikagua mojawapo ya kilainishi kinachotumika katika injini za magari wakati akikagua chumba cha kuhifadhia vipuri na mafuta ya vilainishi vya magari katika karakana ya wakala mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja wa Temesa mkoani Dodoma Mhandisi Liberatus Bikulamchi.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kushoto akiwapa maagizo viongozi waandamizi wa wakala huo mkoani Shinyanga wakati akikagua baadhi ya mitambo katika karakana hiyo, kulia ni Meneja TEMESA wa mkoa Mhandisi Margareth Mapela.

Hivyo makala KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU
yaani makala yote KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/kaimu-mtendaji-mkuu-temesa-afanya-ziara.html
0 Response to "KAIMU MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA DODOMA, SHINYANGA NA SIMIYU"
Post a Comment