title : Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe
kiungo : Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe
Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi Susan Mlawi akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli zawadi ya Kamusi Kuu ya Kiswahili iliyotolewa na Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) wakati wa Kilele cha Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”. Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa CD za makala ya uzalendo wakati wa hafla za Kilele cha Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi Susan Mlawi. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi Susan Mlawi wakionyesha CD za makala ya uzalendo mara baada ya kuzinduliwa rasmi wakati wa hafla za Kilele cha Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi Kitabu cha Uzalendo wakati wa hafla za Kilele cha Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi Susan Mlawi. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Nchi Ofis ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kapteni Msaafu George Mkuchika akimkabidhi Tuzo, Bw.Vita Kawawa aliyeambatana na mwanafamilia mwenzake Bibi. Zamaradi Kawawa kwa niaba ya Waziri Mkuu wa zamani Hayati Rashid Mfaume Kawawa ikiwa ni kuthamini mchango wake katika kukuza lugha ya Kiswahili kupitia sanaa ya maonesha na michezo ya kuigiza wakati wa hafla ya kilele cha Kamapeni ya Uzalendo na Utaifa leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
Waziri wa Nchi Ofis ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kapteni Msaafu George Mkuchika akimkabidhi Tuzo, Bw.Vita Kawawa aliyeambatana na mwanafamilia mwenzake Bibi. Zamaradi Kawawa kwa niaba ya Waziri Mkuu wa zamani Hayati Rashid Mfaume Kawawa ikiwa ni kuthamini mchango wake katika kukuza lugha ya Kiswahili kupitia sanaa ya maonesha na michezo ya kuigiza wakati wa hafla ya kilele cha Kamapeni ya Uzalendo na Utaifa leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
Hivyo makala Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe
yaani makala yote Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/tutaendelea-kuunga-mkono-juhudi-za-rais.html
0 Response to "Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe"
Post a Comment