TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO.

TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO.
kiungo : TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO.

soma pia


TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO.


Wakati kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana kikiwa nchini Lesotho kusaka nafasi ya kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), imebainika kuwa, imetumia takriban Sh 31,669,440 kwa malazi pekee.

Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Championi ambalo limepiga kambi nchini hapa, kwa muda ambao kikosi hicho kimekaa Lesotho, kimetumia kiasi hicho cha fedha kwa malazi pekee.

Ipo hivi; timu hiyo ambayo awali ilipiga kambi nchini Afrika Kusini, ilitua Lesotho Ijumaa iliyopita na kukaa hapa Lesotho kwa siku tatu ambapo ilifikia kwenye Hoteli ya Avani ambayo ni ya kimataifa.

Kwa wastani, chumba kimoja bei yake ni randi 2,000 ambazo ni sawa na Sh 329,890. Kikosi kizima cha Taifa Stars kilichokuja Lesotho kina wachezaji 26 na viongozi sita wa benchi la ufundi. Jumla ni 32.

Idadi hiyo kwa siku moja,  walitumia Sh 10,556,480 kwa malazi ya kila mmoja kulala chumba chake. Kwa siku tatu ni Sh 31,669,440 kulala pekee.

CHANZO: CHAMPIONI


Hivyo makala TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO.

yaani makala yote TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/taifa-stars-yatumia-milioni-3i-lesotho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAIFA STARS YATUMIA MILIONI 3I LESOTHO."

Post a Comment