SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA.

SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA.
kiungo : SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA.

soma pia


SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA.

Uongozi wa Singida United, umejipanga kuimarisha kikosi chake msimu huu kupitia dirisha dogo ambalo limefunguliwa jana.

Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga amesema kuwa klabu yake kwa sasa imeyumba kiuchumi kutokana na ukata  unaowakumba na kuwataka wadau waweze kuipa sapoti timu hiyo.

"Tutatumia dirisha dogo kufanya usajili makini na kuongeza wachezaji wapya watano kutoka klabu mbalimbali hapa Tanzania ikiwa ni pamoja na simba ili kuongeza nguvu," alisema.

Sababu kubwa ya kukumbwa na ukata ni pamoja na ligi kuu kukosa mdhamini mkuu na imeweza kuvunja mkataba na wachezaji wake akiwemo mlinda mlango Peter Manyika aliyejiunga na KCB ya Kenya.


Hivyo makala SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA.

yaani makala yote SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/singida-united-yajipanga-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SINGIDA UNITED YAJIPANGA KUFANYA USAJILI YA KUTISHA."

Post a Comment