title : Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu.
kiungo : Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu.
Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu.
Na Agness Francis,Globu ya Jamii.
MCHEZAJI Donald Ngoma aliesaini kandarasi ya Azamfc kwa mwaka 1 akitokea Jangwani Yanga Sc,anaelekea Nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu yake.
Msemaji mkuu wa timu hiyo Jaffary Iddy amesema kuwa Ngoma ataambatana na Dokta Mwanandi ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha afya AzamFc kuelekea katika mji wa Cape Town kwa ajili ya matibabu katika Hospitali ya St Parot.
Ambapo wataondoka majira ya saa 9:45 usiku wa leo na shirika la Ndege ya Kenya Airways.Uwongozi wa Azam unampeleka mchezaji huyo katika matibabu kwa kua wanaamini ana uwezo na atatoa mchango mkubwa katika Klabu hiyo.
Mchezaji huyo raia wa Zimbawe alisajiriwa na matajiri hao wa chamazi akiwa majeru wa muda mrefu mpaka kupelekea kutokufanya vizuri msimu mzima uliopita kwa wajiri wake wa zamani Yanga Sc.
Jaffary Iddy amesema Ngoma atafanyiwa matibabu ya vipimo vya afya yake kwa gharama zozote.
"Mchezaji huyu akikutwa na ungonjwa atatibiwa kwa gharama zozote ilimradi aweze kupona na kucheza na ikionekana hana tatizo lolote atarudi Dar es salaam kwa ajili ya kuongeza mkataba mnono zaidi na kuitumikia Azam fc kwa muda mrefu katika Ligi kuu Tanzania Bara."amesema msemaji huyo Jaffary.

Mchezaj Donald Ngoma aikiwa katika Jezi za waajiri wake wa zamani YangasSc.
Hivyo makala Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu.
yaani makala yote Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/ngoma-kutimkia-afrika-kusini-kwa-ajili.html
0 Response to "Ngoma kutimkia Afrika Kusini Kwa ajili ya matibabu."
Post a Comment