Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha

Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha
kiungo : Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha

soma pia


Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha




Na George Binagi-GB Pazzo

Shirika la “Savings Banks Foundation for International Coorperation- SBFIC” lenye makao yake makuu nchini Ujerumani, limefungua rasmi ofisi yake nchini Tanzania lengo likiwa ni kufikisha karibu huduma zake  kwa watanzania.

Hafla ya uzinduzi wa ofisi hiyo ilifanyika Novemba Mosi 2018 katika eneo la Bwiru Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, yalipo makao makuu ya shirika hilo hapa nchini huku makao makuu ya Afrika Mashariki yakiwa Kigali nchini Rwanda.

Mkurugenzi wa shirika hilo hapa nchini, Stephen Noel Safe alisema limejikita kuwajengea uwezo wananchi pamoja na watoa huduma za kifedha kutekeleza miradi endelevu ili kutambua umuhimu na matumizi sahihi ya mikopo pamoja na kujiwekea akiba hususani kwa taasisi ndogondogo ikiwemo Vicoba.

Mgeni rasmi, Mtendaji Mkuu shirika la SBFIC, Dkt. Christoph Gogler kutoka nchini Ujerumani alisema huduma za shirika hilo zimewafikia wanufaika zaidi ya 2000 kwa njia mbalimbali ikiwemo mafunzo lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kuendeleza miradi yao kupitia huduma za kifedha ikiwemo mikopo na kujiwekea akiba.


Mkurugenzi wa shirika la SBFIC hapa nchini, Stephen Noel Safe akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Mtendaji Mkuu shirika la SBFIC, Dkt. Christoph Gogler akizungumza kwenye hafla hiyo.
Steven Revelian amnaye ni Mtendaji Mkuu mradi wa KARUDECA kutoka mkoani Kagera akiwasilisha salamu zake kwenye hafla hiyo.



Hivyo makala Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha

yaani makala yote Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/shirika-la-sbfic-kuwajengea-uwezo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shirika la SBFIC kuwajengea uwezo watanzania kuhusu huduma za kifedha"

Post a Comment