DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO

DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO
kiungo : DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO

soma pia


DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO

Na, Imma Msumba Arumeru

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Muro Amepokea misaada ya saruji mifuko 75, shilingi milioni 5 pamoja na vyoo 20 vya kisasa kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya Shule ya Msingi Seliani kilichotitia wiki iliyopita.

Akizungumza mara baada ya kupokea misaada hiyo Dc Muro amesema kuwa misaada hiyo itasaidia kufanikisha ujenzi wa vyoo hivyo kwa muda mfupi, Pia amewashukuru sana wadau wa kampuni ya Usafiri ya Dar Lux kwa msaada wa Milioni Tano ( 5 ).

kwa upande wake Ndg. Nangu amesema wamejitolea Saruji hiyo kwa ajili ya vyoo vya kisasa kabisa yenye thamani ya sh.milioni Moja na Laki moja na ishirini na tano kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Dc Muro baada ya kupata Taarifa za janga la kutitia kwa choo hicho.

“Tunatambua changamoto wanazopata wanafunzi hasa kwa mtoto wa kike kutokana na maumbile yake, hivyo ujenzi wa vyoo hivi utasaidia kuwafanya wanafunzi hao kufurahia mazingira yatakayokuwamo wakiwa shuleni,” alisema Nangu.

Alisema wanafahamu matatizo wanayoyapata watoto wa kike wakiwa shuleni hasa wanapofkia hatua ya kuvunja ungo, kutokana na mabadiliko yanayoanza kutokea na wanapokuwa kwenye tarehe zao ambapo wengine hulazimika kutokwenda shule kutokana na mabadiliko yao ya kimwili, hivyo kwa kushirikiana na Dc Muro wanaamini ujenzi wa vyoo hivyo utawaondolea mabinti wasiwasi.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro Akikabidhiwa mifuko ya Saruji kutoka kwa mdau wa maendeleo Ndg. Ramadhani Nangu mwakilishi wa Bwana Manglan anayeishi nchini Marekani kwa ajili ya ujenzi wa choo cha shule ya Seliani kilicho titia wiki iliyopita.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro,sambamba na Katibu Tawala wa Arumeru Mwl. James Michembe pamoja na Mkurugenzi Halmashauri ya Arusha wakipokea msaada wa Fedha Tsh. Milioni Tano kutoka kwa Ndg. Joel Nathaniel Sasali ambaye ni Operesheni Meneja wa Kampuni ya Usafirishaji ya Dar Lux akiwa ameambatana na baadhi ya watumishi wa kampuni hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Akipokea Vyoo Ishirini kutoka kwa Mdau wa maendeleo kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa choo cha wananfuzni wa shule ya msingi Seliani kilichotitia .
Mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi akikabidhi mchango wa ujenzi wa choo kilichotitia kwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro.



Hivyo makala DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO

yaani makala yote DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dc-muro-akabidhiwa-mifuko-75-ya-saruji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO AKABIDHIWA MIFUKO 75 YA SARUJI NA MIL. 5 KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO"

Post a Comment