MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA
kiungo : MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA

soma pia


MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akizungumza na watendaji wa Mkoa na wilaya jana kuhusu maandalizi ya mapokezi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza 2019.Kulia aliyekaa ni Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Mgema

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kuhakikisha mkoa wake unawezesha wanafunzi wote watakaochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2019 wanapata nafasi ya kusoma kwenye madarasa ya kutosha,amesitisha likizo zote za watendaji wakuu wa mkoa na wilaya ili wasimamie ujenzi wa madarasa mapya kwenye shule za sekondari.

Mndeme ametoa agizo hilo jana wakati wa kikao chake na viongozi na watendaji wa taasisi za umma na binafsi kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kuwataja viongozi ambao hawapaswi kwenda likizo hadi vyumba vipya 142 vikamilike kujengwa.

Ametaja viongozi aliozuia likizo zako kuwa ni Katibu Tawala Mkoa,Wakuu wote wa wilaya,wakurugenzi wa Halmashauri ,Afisa Elimu Mkoa na wale wa wilaya zote pia wahandisi wa ujenzi wa halmashauri.

“Nataka katika halmashauri zote zenye upungufu wa vyumba madarasa hakuna kiongozi kwenda likizo ya mwisho wa mwaka hadi madarasa mapya yakamilike kujengwa ili wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2019 waingie darasani ” alisema Mndeme.

Awali akitoa taarifa fupi ya hali ya hali ya miundombinu ya madarasa Katibu Tawala Mkoa Prof Riziki Shemdoe alisema jumla ya wanafunzi wapya 1,556 watahitaji madarasa mapya ya kidato cha kwanza kwenye shule za sekondari .

Aidha mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mndeme amezuia safari za mafunzo za madiwani wote katika halmashauri nane za Ruvuma hadi watoto wote watakaochaguliwa kuingia kidato cha kwanza hapo mwakani watakapoingia darasani.


Hivyo makala MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkuu-wa-mkoa-wa-ruvuma-azuia-likizo-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MKOA WA RUVUMA AZUIA LIKIZO ZA WATENDAJI WAKUU WA MKOA NA WILAYA"

Post a Comment