MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA
kiungo : MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA

soma pia

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kingwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, baada ya kupata ajali ya gari Agosti 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-rais-mama-samia-amjulia-hali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA"

Post a Comment