RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU

RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU
kiungo : RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU

soma pia


RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu

RAIS mstaafu Mhe. Benjamini Mkapa kesho Agosti 08, atakuwa Mgen Rasmi katika Kilele cha Maonesho ya Sherehe ya wakulima Nanenane Kitaifa mwaka 2018, ambayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

Akizungumza na vyombo vya habari , Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Mkapa atakuwa mgeni rasmi katika madhimisho hayo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. 

Amesema pia katika kilele cha Maadhimisho ya maonesho hayo viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali watashiriki wakiwemo Katibu Mkuu wa CCM , Dkt. Bashiru Ally Sambamba na Mawaziri, Manaibu Waziri na Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Mkuu wa wizara mbalimbali.

“Watakuwepo viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali pamoja na viongozi wa Taasisi mbalimbali za Fedha wakiwemo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) Prof. Florens Luoga na Mkurugenzi wa Benki ya NBC, Theobald Sabi”
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu , Mhe. Anthony Mtaka akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili wilayani Busega Mkoani Simiyu, kwa ajili ya kuhitimisha Maonesho ya nanenane Kitaifa mwaka 2018, yanayofanyika Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Mjini Bariadi Simiyu.
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu , Bw. Jumanne Sagini(kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili wilayani Busega Mkoani Simiyu, kwa ajili ya kuhitimisha Maonesho ya nanenane Kitaifa mwaka 2018, yanayofanyika Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Mjini Bariadi Simiyu.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kulia) akitoa maelezo ya awali kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa(katikati) mara baada ya kuwasili wilayani Busega Mkoani Simiyu, kwa ajili ya kuhitimisha Maonesho ya nanenane Kitaifa mwaka 2018 mkoani humo, yanayofanyika Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Mjini Bariadi Simiyu.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongela (kulia) wakiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa(katikati) mara baada ya kuwasili wilayani Busega Mkoani Simiyu, kwa ajili ya kuhitimisha Maonesho ya nanenane Kitaifa mwaka 2018 mkoani humo, yanayofanyika Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Mjini Bariadi Simiyu.



Hivyo makala RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU

yaani makala yote RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-mstaafu-mkapa-mgeni-rasmi-kilele.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA NANENANE KITAIFA 2018 SIMIYU"

Post a Comment