Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo
kiungo : Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo

soma pia


Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo

 
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jumanne Shauri, amewaomba wadau wanaoweza   kuchangia  Ukarabati wa Miundombinu Pamoja na Ujenzi wa   Vyoo, madarasa katika Shule za Manispaa hiyo kujitokeza  ili kuupunguza tatizo la uhaba wa Vyoo Pamoja na madarasa katika Shule.
Akizungumza Leo  ,katika kikao Cha Baraza la Madiwani ,Amesema wanatazimia kujenga   madarasa 500 katika Shule zote Msingi na Sekondari Hadi kufikia June, mwaka 2019.
"Niwaombe Madiwani Kama Kuna wadau mnaowafahamu mnaweza kutusaidia kwa kuwaambia na kuwahamasisha kuchangia Ujenzi wa vyoo Pamoja na madarasa kwani Ni Aibu kwa Manispaa yetu Shule kukosa vyoo au kuwa na matundu machache ya vyoo" Amesema Mkurugenzi.
Amesema katika Shule zenye uhitaji mkubwa wa Miundombinu zitapewa kipaumbele ili kuondoa changamoto zinazokabili Shule hizo ambapo Ni adha kwa Wanafunzi na kupelekea kutosoma vyema.
Amesema katika bajeti waliyoianda wataweza kujenga takribani vyoo 200, ambapo ametoa Rai kwa Wadau kujitokeza kwa wingi kuweza kuchangia  Ujenzi wa vyoo ili kuondoa aibu hiyo katika halmashauri.
Aidha amesema Kuna mdau ambaye amejitokeza na amehidi kutoa mabati zaidi ya 100, hivyo wataanza na kukarabati Shule ya Msingi Tabata ambapo Diwani wa kata hiyo amewasilisha Kero kuwa Wanafunzi wanapata adha kutokana na uchakavu wa mabati hayo.
Akiwasilisha Kero hiyo Diwani wa Kata ya Tabata Patrick Assenga amesema ameshafanya Ukarabati katika Shule hiyo,kwa kupiga rangi majengo ya madarasa lakini changamoto imebaki katika uchakavu wa mabati Jambo linalopelea wakati ya mvua Wanafunzi kushindwa kufika shuleni.


Hivyo makala Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo

yaani makala yote Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkurugenzi-wa-manispaa-ya-ilala-awaomba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, awaomba Wadau kujitokeza kuchangia Ukarabati Miundombinu ya Shule za Halmashauri hiyo"

Post a Comment