MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA

MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA
kiungo : MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA

soma pia


MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na  maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha  Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale  kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Kiwanja cha Sabasaba kilichopo Karumwa wilayani Nyang'hwale Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA

yaani makala yote MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/majaliwa-uso-kwa-uso-na-hamis-mgeja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA USO KWA USO NA HAMIS MGEJA"

Post a Comment