title : WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO
kiungo : WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO
WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO
*Ni baada ya wanafunzi 72 wa kike kupewa ujauzito wilayani Nyang’hwale
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amechukizwa na vitendo vya watoto wa kike kukatisha masomo yao kwa kupata ujauzito wilayani Nyang’hwale ambapo jumla ya wanafunzi 72 wamepata ujauzo katika kipindi cha miaka mitatu cha kuanzia mwaka 2016 hadi 2018.
Kutokana na wilaya hiyo kuwa na idadi kubwa ya watoto wa kike wanaokatisha masomo kutokana na ujauzito, Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Hamim Gwiyama kufanya operesheni katika kila kijiji na kubaini waliowapa wanafunzi ujauzito na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumatano, Novemba 28, 2018) alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba, ,kijiji cha Kalumwawilaya ya Nyang’hwale, akiwa katika ziara yake mkoani Geita.
“Jambo lingine litakalowawezesha kukabiliana na tatizo la ujauzito kwa wanafunzi wa kike ni kuanzisha miradi ya ujenzi wa mabweni ili watoto wa kike waweze kusoma bila ya kupata vishawishi vinavyosababisha wao kupata ujauzito.”
Waziri Mkuu alisema Serikali haiwezi kuacha jambo hilo likiendelea, hivyo aliwataka wananchi washirikiane katika kuwalinda watoto wa kike na Serikali itawachukulia hatua watendaji wote ambao katika maeneo yao watoto wa kike watabainika kuwa na ujauzito.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

Hivyo makala WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO
yaani makala yote WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-achukizwa-na-wanafunzi.html
0 Response to "WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA WANAFUNZI KUKATISHWA MASOMO"
Post a Comment