title : Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu
kiungo : Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu
Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu
Wafanyakazi walioagwa baada ya kumaliza utumishi wao wa kazi katika Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar
Mkurugenzi Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar Salum Kitwana Sururu akitoa shukurani zake kwa Wafanyakazi hao (hawapo pichani) na kuwatakia kheri katika maisha yao
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar anaeshughulikia masuala ya Habari Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akimkabidhi cheti maalum Bi. Jokha Ali Simba mmoja ya wafanyakazi waliostaafu Idara ya Makumbusho ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSU) Mwatumu Khamis Othman akimkabidhi saa ya ukutani mzee Mussa Vuai Pakia katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale anaeshughulikia masuala ya Habari Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akizungumza katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale waliohudhuria katika ghafla ya kuwaaga wafanyakazi wenzao waliomaliza muda wa kufanya kazi katika Idara hiyo.
Picha na Abdalla Omar Habari - Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu
yaani makala yote Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/idara-ya-makumbusho-na-mambo-ya-kale.html
0 Response to "Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu"
Post a Comment