Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa Zanzibar, akihutubia Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Biashara Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil akifungua mkutano huo,ulifanyika katika ukumbi huo Unguja.
Waziri wa Biashara na Viwanda, Mhe.Balozi Amina Salum Ali akizungumza katika Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Katibu Mkuu Kiongozi Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar (ZNBC), Dk. Abdulhamid Yahya Mzee akiwakaribisha waalikwa katika ufunguzi wa Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Baraza hilo akihutubia wakati wa ufunguzi wake.ulilofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja 
Rais wa Jumuia ya Wafanyabiashara, Wenyeviwanda na Wakulima Zanzibar (ZNCCIA), Taufik Salim Turky akitoa salamu za jumuia hiyo katika Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Mwakilishi wa Baraza la Taifa la Biashara la Tanzania (TNBC), Kaisi Kabenga akitoa salamu za baraza hilo katika jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdlul wakil uliopo Kikwajuni Unguja

Wasshiri wa Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar kutoka sekta binafsi  wakiwa katika jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdlul wakil uliopo Kikwajuni Unguja.(Picha na Haroub Hussein )


Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar."

Post a Comment