title : FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON
kiungo : FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON
FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON
Felix Simbu ni Mtanzaia anaekimbia mbio ndefu Simbu ameshika tafasi ya tano kwenye mashidano Rio Olympic 2017 , na akashika nafasi ya 3, IAAF World Championships London 2017, yupo New York na yupo tayari kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindani hayo makubwa duniani. Simbu ni mategemeo ya Watanzania kwa sasa katika anga za kimataifa kwenye nyanja za mbio ndefu. Kwiyo macho na masikio ya Watanzaia ni kwake jumapili hii wakiona na kusikia ametutoa kimasomaso kwa kushika nafasi ya juu na kuitangaza vyema bendera ya Tanzania katika mashindano haya yanayojulikana duniani kote kama New York Marathon na kushikirisha wakimbiaji zaidi 50,000 kutoka duniani kote.
Hapa Simbu akisubiri kufanyia massage katika hotel aliyofikia ya Hilton New York City
Mchua misuri wake akiwa kazini na yeye akisubiri zamu yake
Hapa akiingia Hotel akiwa na NY Ebra!
Hivyo makala FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON
yaani makala yote FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/felix-simbu-apania-kuwatoa-kimasomaso.html
0 Response to "FELIX SIMBU APANIA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KWENYE MBIO ZA NEW YORK MARATHON"
Post a Comment