TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa

TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa
kiungo : TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa

soma pia


TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa

Kampuni ya Magari ya TATA Motors kwa kushirikiana na msambazaji wake nchini Tanzania Tata Africa Holdings imezindua magari aina ya Tata HEXON na Tata HEXA ambayo na kutangaza kuyaingiza katika soko  la Afrika huku mnunuzi akipewa chaguo la kuamua kulipa kidogokidogo kila mwezi.

Magari hayo ambayo yamezinduliwa India mwaka 2017 hapa Tanzania
yamezinduliwa Novemba 2.2018 na Kampuni hiyo imesema  magari hayo yatakuwa yakipatikana nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla kupitia kwa mawakala wao walioidhinishwa.

“Tunafurahi kutangaza uzinduzi wa gari zetu hapa nchini. Gari zote hizi zimetengenezwa kwa ubunifu,  viwango bora na teknolojia endelevu. amesema Mkuu wa biashara za kimataifa wa Tata Motors, Sujan Roy.

Ameongeza, kwa uzinduzi huo wanatarajia kupanua ukubwa wa soko hapa nchini na ana imani bidhaa hiyo imeingia sokoni wakati mwafaka na wanunuaji wote watapata ofa ya bima isiyozidi Sh2.5 milioni sanjari na waranti ya miaka 3 kwa Kilimeta 60,000 tu.

Kadhalika amesema uuzwaji wa gari hizo umewekewa urahisi kwani mtu ataweza kulipa kwa kila mwezi “Tunafikiria kujenga kiwanda cha kuunganishia magari hapa kwa baadaye ili kuendelea kuweka unafuu zaidi wa bei ya magari yetu”.

Mkuu wa Tata Holdings Limited kanda ya Arika Mashariki, amrsema: “Hii ni hatua ya kwanza kubwa kufikiwa . Tunajivunia na tuna imani kuwa tutafanya hivi tena katika bidhaa nyingine bora kwa siku zijazo.”
 Pichani juu na chini ni aina ya Magari  ya Tata HEXON na Tata HEXA yamezinduliwa na Kampuni ya Magari ya TATA Motors kwa kushirikiana na msambazaji wake nchini Tanzania Tata Africa Holdings 



Hivyo makala TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa

yaani makala yote TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/tata-motors-yazindua-magari-yake-aina.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TATA Motors yazindua magari yake aina ya Tata Hexon na Tata Hexa"

Post a Comment