MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO
kiungo : MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

soma pia


MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua mabomba yatakayotumika kusambazia maji kwa mradi wa Maweso akiwa na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua ujenzi wa tenki la maji la mradi wa Lolindo na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama ambao utekelezaji wake unaendelea katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Mhandisi wa Mkoa wa Ruvuma, Jones Kimaro (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso katika kitekeo cha maji ikiwa ni sehemu ya mradi wa Lilondo katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Mradi wa mfano uliotekelezwa na wakazi wa Lilondo, ambao wametumia teknolojia ya kienyeji ya kukusanya maji kwa mabomba kutoka milimani na kuyahifadhi kwenye bwawa walilochimba na kuyasambaza kwa wananchi kupitia mitaro waliyochimba kwa gharama zao wenyewe ili kukabiliana na changamoto ya maji katika kijiji chao.


Hivyo makala MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

yaani makala yote MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/madaba-yawa-mfano-bora-katika-kutatua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO"

Post a Comment