title : WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO
kiungo : WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO
WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO
yaani makala yote WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wizara-iom-wajadili-changamoto-za_5.html
0 Response to "WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO"
Post a Comment