DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR

DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR
kiungo : DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR

soma pia


DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wameendesha zoezi la msako wa kuwakamata wezi wa maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam.

Zoezi hilo linaloendelea kwa kasi limefanikisha kukamatwa kwa mkazi mmoja wa Mbezi Kati aliyetambulika kwa jina la Alhaji Londa ambaye anatuhumiwa kujiunganishia maji na kuyauza kwa wenye magari ya kubeba maji usiku. 

Akishiriki katika zoezi la Kuwasaka wezi hao, Meneja wa Mkoa kazi DAWASA Kawe, Gilbert Massawe ameweza kufanikisha kukamatwa kwa mwizi huyo anayedaiwa kujiunganishia maji zaidi ya mwaka mmoja.Katika kumbukumbu za kiofisi zinaonyesha kuwa Londa alikuwa anadaiwa Tsh. Milioni 1.8 na alisitishiwa huduma tangu mwaka jana hata hivyo alijiunganishia maji kinyemela na kuanza biashara ya kuuza maji usiku. 

Gilbert amemtaka Londa Kujisalimisha kituo cha polisi na kueleza kuwa hatua kali zitachuku dhidi yake.Baada ya DAWASA kufanya uchunguzi na kujiridhisha jana ili vamia nyumbani kwa mtuhumiwa na kukuta kweli alijiunganishia maji kama inavyoonekana pichani. 

Hatua za kisheria zimechukuliwa kwa majibu wa sheria ya DAWASA na kwa kosa hili mtuhumiwa atashitakiwa kwa makosa kadhaa ikiwemo wizi wa maji, uharibifu wa miundombinu ya maji na uhujumu uchumi.
Meneja wa Mkoa kazi wa DAWASA Kawe Gilbert Massawe (kulia) akishiriki katika operesheni ya kumkamatamkazi mmoja wa Mbezi Kati aliyetambulika kwa jina la Alhaji Londa ambaye anatuhumiwa kujiunganishia maji na kuyauza kwa wenye magari ya kubeba maji usiku. 


Hivyo makala DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR

yaani makala yote DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dawasa-yaendesha-msako-wa-wezi-wa-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA YAENDESHA MSAKO WA WEZI WA MAJI JIJINI DAR"

Post a Comment