WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA

WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA
kiungo : WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA

soma pia


WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Injinia Patrick Mfugale (kushoto) akimwelezea Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Issack Kamwele (kulia) maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara sita kutoka Dar es Salaam hadi Maili Moja Kibaha unaojengwa na fedha za Serikali kwa gharama ya takribani zaidi ya shilingi bilioni 140.
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Julius Ndyamukama (aliye nyoosha kidole) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Issack Kamwele alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara sita kutokea Dar es Salaam hadi Mail Moja Kibaha.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na msafara wake wakitembelea mradi wa barabara sita unaoendelea eneo la Kimara Dar es Salaam hadi Mail Moja Mkoa wa Pwani.
Ujenzi wa barabara sita kutokea Dar es Salaam hadi Mail Moja Kibaha ukiendelea. Eneo hili unajengwa ukuta kuzuia maji ya mto kuingilia barabara hizo.


Hivyo makala WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA

yaani makala yote WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-wa-ujenzi-mhandisi-kamwele.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA"

Post a Comment