title : DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO
kiungo : DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO
DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh muhamed Utaly ametoa siku kumi na nne kwa wafugaji waliovamia maeneo yaliyotengwa kwaajili ya shughuli za kilimo katika kata ya Melela,kuondoka mara moja katika maeneo hayo na kupisha shughuli zilizo kusudiwa .
Tamko hilo la mkuu wa Wilaya linafuatia hivi karibuni baada ya ofisi yake kupokea barua ya malalamiko kutoka kwa wafugaji, wakiilalamikia serikali ya kijiji cha melela kuwa wamevamia katika eneo lao wanaloishi na sasa wanataka kuligawa kwa wakulima kwa shughuli za kilimo ,jambo ambalo lilimlazimu mkuu huyo wa Wilaya kwenda kukutana na pande hizo mbili ili kupata muafaka.
Awali akitoa maelezo kwa niaba ya serikali ya kijiji mwenyekiti wa kijiji hicho Said Membe amesema kuwa eneo hilo linalolalamikiwa na wafugaji lilitengwa maalum kwa shughuli za kilimo na kufuata taratibu zote za kisheria .
Bw membe amesema wao kama serikali ya kijiji wapo kwaajili ya kufuata na kusimamia taratibu za kisheria na kwakutambua hilo ofisi yake imeanzisha mchakato wa kukusanya maombi kutoka kwa wananchi wanaohitiji maeneo ya kulima na mchakato utakapo kamilika basi watayarudisha kwa wananchi wenyewe ilizoezi lakugawa mashamba hayo ufanyike kwa kufuata taratibu zote za kisheria.
Naye bwana wecha kwaniaba ya wafugaji waliopeleka malalamiko hayo kwa Mkuu wa Wilaya amethibitisha kuwa nikweli wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo bila kuwa na utamburisho rasmi wa kisheria unaowapa uhalali wa kumiliki maeneo hayo ukiacha mfugaji mmoja ambaye ndiye anayetambulika kisheria na serikali ya kijiji

Hivyo makala DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO
yaani makala yote DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dc-mvomero-atoa-siku-nne-kwa-wafugaji.html
0 Response to "DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA SHUGHULI ZA KILIMO"
Post a Comment