title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Ruvuma ambao mikoa yao imeanza kuuza korosho, Wenyeviti wa Vyama Vikuu vya Ushirika na Watendaji Wakuu wa Bodi ya Korosho kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Oktoba 26, 2018. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba.
Washirki wa Mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa uliowajumuisha Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani ambao mikoa yao imeanza kuuza korosho, Wenyeviti wa Vyama Vikuu vya Ushirika na Watendaji Wakuu wa Bodi ya Korosho wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Oktoba 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-wakuu.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA YA LINDI, MTWARA, PWANI NA RUVUMA NA VIONGOZI WA BODI YA KORSHO KUJADILI BEI YA KOROSHO"
Post a Comment